Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA TAASISI YA ZEEA NA TAMASHA LA FAHARI YA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akibinyeza kitufe kuzinduwa maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki(kushoto) Mkurugenzi Juma Burhani Mohamed(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Zeea Bw.Juma Amour Mohamed na Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa ZEEA Ndg.Juma Burhani Mohamed katika hafla ya maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.
Baadhi ya waalikwa mbali mbali wakifuatilia kwa makini taarifa zilizotolewa katika Tamasha la Fahari ya Zanzibar sambamba na Maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji leo Ukumbi wa Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Kilimo Hai Imput Company Limited cha Kijichi Zanzibar Ndg.Arafa Hamad Bakari (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Operesheni Meneja wa TCB Tawi la Zanzibar Ndg.Ismail Ferous (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Kazi mbali mbali katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika Viwanja vya Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZEEA Ndg.Juma Amour Mohamed katika hafla ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZEEA Ndg.Juma Amour Mohamed katika hafla ya maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.

Post a Comment

0 Comments