Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI NANGURUWE WILAYA YA MTWARA VIJIJINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nanguruwe, wilaya ya Mtwara Vijijini ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
Wananchi wa Kijiji cha Nanguruwe wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mtwara Vijijini ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

Post a Comment

0 Comments