Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki uliongozwa na Mhe.Januari Makamba (wa pili kulia)akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mbarouk Nassir,akifuata Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Mhe.Stephen Byabato (kushoto) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 11/09/2023 .
0 Comments