Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KIWANDA CHA PARACHICHI CHA AVOAFRICA MAKAMBAKO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Uchambuzi na Ufungashaji Parachichi cha AvoAfrica Bw. Nagib Karmali wakati alipowasili katika Kiwanda hicho kilichopo Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa katika kiwanda cha Uchambuzi na Ufungashaji Parachichi cha AvoAfrica kilichopo Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Uchambuzi na Ufungashaji Parachichi cha AvoAfrica Bw. Nagib Karmali wakati akitembelea na kukagua kiwanda hicho kilichopo Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023)

Post a Comment

0 Comments