Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu leo 11-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe.Theresa Ztting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 11-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-10-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments