Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KITAIFA KWA KUHUTUBIA BUNGE LA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akihutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha Ziara yake ya Kitaifa nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023. Rais Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke kulihutubia Bunge hilo lililopo Lusaka nchini Zambia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwashukuru Wabunge wa Bunge la Zambia mara baada ya kuwahutubia tarehe 25 Oktoba, 2023. Rais Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke kulihutubia Bunge lililopo Lusaka nchini Zambia.

Post a Comment

0 Comments