Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC LUANDA NCHINI ANGOLA

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Utangulizi kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola tarehe 04 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano kuhusu Ulinzi na Usalama (Troika) wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, Luanda nchini Angola tarehe 04 Novemba, 2023. Pamoja na mambo mengine, Mkutano huo utajadili juhudi za SADC katika kuimarisha hali ya Amani, Ulinzi na Usalama Mashariki mwa Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Post a Comment

0 Comments