Ticker

6/recent/ticker-posts

MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Cindy McCain mara baada ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Cindy McCain kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Desemba, 2023.

Post a Comment

0 Comments