Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA CHAMA CHA WAJANE AFRICA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (kulia kwa Rais)akitoa maelezo kuhusu kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54,wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ikulu] 19/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wajane Afrika ulioongozwa na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 19/12/2023.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wajane Tanzania (TAWIA) Ndg.Rose Sarwart na Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Ndg.Tabia Makame wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipoungana na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 19/12/2023.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma akiwa na Wajumbe wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo yanayohusu maandalizi ya kufanyika kwa mkutano mkubwa wa Wajane wa Afrika hapa Zanzibar utakaoshirikisha zaidi ya Nchi 54.[Picha na Ikulu] 19/12/2023.

Post a Comment

0 Comments