Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI QATAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Qatar,baada ya kumalizika kwa Jukwaa la Doha (Doha Forum) lililofanyika Jijini Doha, alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe Mahmoud Muhammed Mussa, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Qatar,baada ya kumalizika kwa Jukwaa la Doha (Doha Forum) lililofanyika Jijini Doha, alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments