Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA RAIS KWA WAZALISHAJI BORA NCHINI (PMAYA), MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) katika ukumbi wa Super Dome Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Viongozi, Wazalishaji, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 16 Desemba, 2023.

Post a Comment

0 Comments