Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA CHAKE CHAKE KISIWANI PEMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chake Chake Kisiwani Pemba mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Karafuu House, Chake Chake Kisiwani Pemba tarehe 09 Januari, 2024.Shamrashamra za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Karafuu House, Chake Chake Kisiwani Pemba tarehe 09 Januari, 2024.

Post a Comment

0 Comments