Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AMUAPISHA MHE. SHAABAN ALI OTHMAN KUWA MJUMBE WA TUME YA MIPANGO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo baada ya kumuapisha Waziri wa Uchumu wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments