Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 20, 2024 Jijini Dodoma kuhusu hatua za utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa. Kulia ni Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kati, Dkt. Caren Kahangwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 20, 2024 Jijini Dodoma kuhusu
hatua za utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 20, 2024 Jijini
Dodoma kuhusu hatua za utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa.
Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah
Hassan Mitawi.

(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Februari 20, 2024
Jijini Dodoma kuhusu hatua za utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na
mkaa. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw.
Abdallah Hassan Mitawi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 20, 2024 Jijini
Dodoma kuhusu hatua za utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa.
Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah
Hassan Mitawi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 20, 2024 Jijini
Dodoma kuhusu hatua za utekelezaji wa katazo la matumizi ya kuni na mkaa.
Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah
Hassan Mitawi na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Bw. Thomas Chali

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
0 Comments