Ticker

6/recent/ticker-posts

BALOZI NCHIMBI AFANYA MKUTANO WA NDANI NA WANACHAMA WA CCM KATIKA MKOA WA KILIMANJARO


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama wa CCM, wawakilishi wa makundi mbalimbali, Viongozi wa Chama na Jumuiya zake wa ngazi mbalimbali, kwenye mkutano wa ndani, uliofanyika Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Jumatano Juni 5, 2024, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambayo ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Oganaizesheni, Ndugu Issa Usi Haji Gavu, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Ndugu Rabia Hamid Abdalla, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI).

Post a Comment

0 Comments