

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akifafanua jambo mara baada ya kuzindua Shule ya Sekondari Kiomoni iliyopo Kata ya Mzizima Halmashaurii ya Jiji la Tanga mkoani Tanga jana Oktoba 23, 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akitazama samani mbalimbali zilizopo katika jengo la maabara katika Shule ya Shule ya Sekondari Kiomoni iliyopo Kata ya Mzizima Halmashaurii ya Jiji la Tanga mkoani Tanga jana Oktoba 23, 2024. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Japhari Kubecha na kulia kwa Waziri Kijaji ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batlida Burian
0 Comments