Ticker

6/recent/ticker-posts

MTOTO WA MZEE GULAM KWENYE RAMANI YA SIASA? FAHAD MUKADAM KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA ACT-WAZALENDO?

 


Kumekuwa na minong’ono ya chinichini katika duru za kisiasa kuwa Fahad Gulamhafiz Mukadam, mtoto wa mwanasiasa mkongwe Mzee Gulam Gulamhafiz Mukadam ambaye ni Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anapanga kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu utaofanyika Oktoba Mwaka huu.

Ingawa bado hakuna tamko rasmi kutoka kwake wala chama husika, vyanzo vya karibu vinaeleza kuwa maandalizi ya awali yameshaanza kwa hatua za kimkakati chini kwa chini. 

Hatua hii, iwapo itathibitishwa, huenda ikatikisa anga ya kisiasa na kuibua mjadala mpana ndani na nje ya chama hicho chenye ushawishi unaokua miongoni mwa vijana.

Endelea kufuatilia – tutazidi kukuletea habari zaidi...

Post a Comment

0 Comments