Ticker

6/recent/ticker-posts

MENDY ASIMAMISHWA KUCHEZA MPIRA KWA TUHUMA ZA UBAKAJI

Mchezaji wa Machester City Benjamin Mendy amesimamishwa kucheza mpira wa miguu baada ya kukutwa na tuhuma za makosa manne ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kijinsia.


Timu ya Machester City ndio iliyomsimisha mchezaji huyo kupisha uchunguzi kufanyika.


Post a Comment

0 Comments