Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS WA ZANZIBAR DKT.MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA NCHINI SLOVAKIA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati) wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo akiwepo na Mratibu wake hapa Zanzibar Mhe.Ibrahim Rara.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimskiliza Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo.[Picha na Ikulu] 25/08/2021.

Post a Comment

0 Comments