Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BANDARI YA KAREMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Bandari ya Karema wilayani Tanganyika mkoa wa katavi, Agosti 25, 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Eric Hamissi. Bandari hiyo inatarajiwa kukamilika mwezi Machi mwakani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Bandari ya Karema wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, Agosti 25, 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Eric Hamissi na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwananvua Mrindoko. Bandari hiyo inatarajiwa kukamilika mwezi machi mwakani.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Bandari ya Karema wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi ambayo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi Machi mwakani. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 25, 2021 alikagua ujenzi wa Bandari hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments