Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MNADHIMU MKUU WA JWTZ IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-10-2021, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu) AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 21-10-2021.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na (kulia kwake) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments