Ticker

6/recent/ticker-posts

SPIKA NDUGAI AONGOZA MKUTANO WA WAKULIMA WA KOROSHO KANDA YA KATI


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa wakuliwa wa Korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021, kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe na Mdau wa Korosho na Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Adam Kimbisa


Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akizungumza na wadau mbalimbali wa korosho (hawapo kwenye picha) wakati wa Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021


Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe. Remedius Mwema akizungumza na wadau mbalimbali wa korosho (hawapo kwenye picha) wakati wa Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021


Wadau mbalimbali wa korosho wakishiriki Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments