Ticker

6/recent/ticker-posts

MASTAA WA BONGO KUTOKA KIWANDA CHA MUZIKI NA BURUDANI WAKUTANISHWA KUJIONEA ‘MAAJABU HALISI’ YA COCA-COLA

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa Shughuli za Biashara wa Kampuni ya Coca-Cola, Hellen Masumba (kushoto) wakifurahia wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya watu mbalimbali maarufu katika tasnia za muziki na burudani ikiwa ni sehemu ya kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusheherekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.
Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kulia) akiwa kwenye picha ya furaha na msanii wa maigizo na uchekeshaji Idris Sultan (kushoto) wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya watu mbalimbali maarufu katika tasnia za muziki na burudani ikiwa ni sehemu ya kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusheherekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.
Msanii maarufu wa tasnia ya ‘kudance’ nchini Tanzania, Angel Nyigu ni miongoni wa wasanii wa tasnia ya burudani walioalikwa katika hafla fupi ya sehemu ya kampeni ya Coca-Cola inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusheherekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.
Msanii wa maigizo na uchekeshaji nchini Tanzania, Idris Sultan, ni miongoni mwa wasanii wanaoshirikiana na kampuni ya Coca-Cola katika kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusheherekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Juma Jux akiwa amepozi wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya Coca-Cola kwa ajili ya wasanii na watu mashuhuri katika tasnia ya muziki na burudani nchini Tanzania ikiwa ni sehemu ya kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusheherekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.
Miongoni mwa ma-DJ wachache wanaofanya vizuri kwenye sekta ya budurani Tanzania, DJ Senyorita, akiwa amepozi na zawadi yake kutoka Coca-Cola akiwa ni miongoni mwa wasanii wanaoshirikiana na kampuni hiyo katika kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusherehekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.
Msanii anayechipukia katika anga la muziki wa kizazi kipya Tanzania, Abby Chams, akiwa amepozi kwa furaha na zawadi aliyokabidhiwa na Coca-Cola kama miongoni mwa wasanii wanaoshirikiana na kampuni hiyo katika kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Coca-Cola inaendesha matukio tofauti ya kusisimua ambayo yanawahusisha wateja waliopo sehemu mbalimbali kwa lengo la kusherehekea kwa pamoja nyakati tofauti katika msimu huu wa sikukuu.

Post a Comment

0 Comments