Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Januari, 2022.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Suleiman Jafo ameitaka Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa …
Read more
0 Comments