Ticker

6/recent/ticker-posts

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA SOMO KUHUSU MASUALA YA UDHIBITI UKIMWI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi idara ya Mwitikio wa Taifa kutoka Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Bi.Audrey Njelekela akizungumza katika Semina ya Waandishi wa Habari iliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Edema mkoani Morogoro. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Bi.Nadhifa Omar akizungumza katika Semina ya Waandishi wa Habari iliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Edema mkoani Morogoro. Muwezesha wa Masuala ya Vijana Bi.Florence Lema akiwasilisha Mada katika Semina ya Waandishi wa Habari iliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Edema mkoani Morogoro. Mratibu wa Vijana Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dkt.Kafura William akiwasilisha mada katika Semina ya Waandishi wa Habari iliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Edema mkoani Morogoro. Waandishi wa Habari wakifuatilia Semina iliyoandaliwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) mkoani Morogoro.

Post a Comment

0 Comments