Ticker

6/recent/ticker-posts

WASTAAFU NA WATEGEMEZI WA NSSF WAWEKEWA UTARATIBU MZURI WA UHAKIKI

Meneja Usimamizi wa Mafao wa NSSF, James Oigo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi . Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele na Kushoto ni Meneja Malipo ya Pensheni wa NSSF, Nancy Mwangamila
Meneja Malipo ya Pensheni wa NSSF, Nancy Mwangamila, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi lililoanza tarehe 1 Februari, 2022 hadi Aprili 29, 2022.











Post a Comment

0 Comments