Ticker

6/recent/ticker-posts

MKE WA RAIS WA MAMA MARIAM MWINYI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba baada ya kumaliza kwa mazoezi ya viungo yaliyoenda sambamba na matembezi ya kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizika katika viwanja hivyo kwa mazoezi ya viungo ya pamoja.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja wakishangiria wakati Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa matembezi na mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba leo 28-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments