Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AMTEMBELEA SHEIKH ALI RIJALI MAVUA LEO NYUMBANI KWAKE MOMBASA KWA MCHINA.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Sheikh Ali Rijali Mavua alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “Unguja kumtembelea leo 13-5-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Rijali Mavua, alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo alipofika kumjulia hali yake na (kulia kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Rijali Mavua, alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments