Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AZUNGUMZA NA UJUMBE WA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA WA SEKTA BINAFSI KUTOKA NCHINI UFARANSA MEDEF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka nchini Ufaransa MEDEF pamoja na Taasisi ya Business France, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

Wajumbe mbalimbali kutoka Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka nchini Ufaransa MEDEF pamoja na Taasisi ya Business France wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.

Post a Comment

0 Comments