Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MAONESHO YA KILIMO YA NANENANE VIWANJA VYA KIZIMBANI WILAYA YA MAGHARIBI "A" UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Uendeshaji na Utumishi wa Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Ndg. Noha Saleh Said, alipotembelea banda la maonesho la Wizara hiyo, baada ya kuyafungua Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 8-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Bi. Khadija Seif Salum, wakati wakitembelea banda la maonesho la Taasisi ya Pass, baada ya kuyafungua Maonesho ya Kilimo ya Nanenane katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 8-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Uchumi wa Buluu Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame, wakati alipotembelea banda la Wizara hiyo, katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wqa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kuyafungua leo 8-8-2022, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakichuma Karafuu, katika kitalu cha maonesho ya Kilimo cha Jeshi la Kujenga Uchimi (JKU) katika viwanja vya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 8-8-2022. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wakati wakitembelea Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 8-8-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments