Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA TAASISI YA MILELE FOUNDATION NA IFRAJ ZANZIBAR FOUNDATION.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation na ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ikulu] 30/08/2022. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ikulu] 30/08/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/08/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation mara baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/08/2022.

Post a Comment

0 Comments