Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA SHERIA MPYA YA MAKADHI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kamati ya Sheria Mpya ya Makadhi Zanzibar , walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 12-9-2022 na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments