Ticker

6/recent/ticker-posts

UJIO WA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASI YA KONGO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Mhe.Felix Tshisekedi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika mazungumzo yao waligusia ushirikiano baina nchi mbili hizo ikiwemo Uchumi na Biashara.[Picha na Ikulu] 24/10/2022.

Post a Comment

0 Comments