Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Lindi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Ilulu Mkoani humo tarehe 01 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi tarehe 01 Desemba, 2022.

Post a Comment

0 Comments