Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAHAFALI YA 20 YA CHUO CHA ZANZIBAR UNIVESITY (ZU)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) yaliyofanyika leo 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar University.Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu). WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar Univesity (ZU) wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akiwahutubia katika hafla ya Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022 katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Zanzibar University (ZU) alipowasili katika viwanja Chuo hicho kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika maandamano ya Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar University (ZU) Kibele Wilaya ya Kati Unguja, akielekea katika viwanja vya mahafali hayo leo 21-12-2022 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) Mohammed Bakari Rashid akitowa maelezo ya kifaa alichobuni cha kudhibiti matumizi ya umeme, wakati akitembelea maonesho ya kuadhimisha Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliofanyika leo 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments