Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI,AMFARIJI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi alipofika kuifariji familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.[Picha na Ikulu] 23/12/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) pamoja na familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto) leo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.[Picha na Ikulu] 23/12/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo baada ya kumfariji nyumbani kwake Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo, aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu.[Picha na Ikulu] 23/12/2022.

Post a Comment

0 Comments