



MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kiongozi wa Matembezi ya Vijana wa (UVCCM) Lulu Saleh Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar.Marehemu Abeid Amani Karume, wakati wa uzinduzi wa Matembezi ya Vijana wa (UVCCM) yaliyozinduliwa leo 5-1-2023 katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe Kisonge Wilaya ya Mjini Unguja, kuaza rasmon matembezi hayo leo katika Mikoa Mitatu ya Unguja.(Picha na Ikulu)
0 Comments