Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA HINDI SUNNI JAMAAT ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed, akitowa maelezo ya Taasisi yao, wakati mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 2-2-2023,walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar,ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed, (hawapo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kasha na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar Bw.Nizar Mohammed na Uongozi wa Hindi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo 2-2-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments