Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE. KAMALA HARRIS WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati walipokuwa wakizungumza na Waandishi wa Habari wa Tanzania na wale kutoka nchi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuonesha Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris nakshi za michoro ya milango ya Zanzibar pamoja na madirisha yake katika ukumbi wa Kikwete mara baada ya mazungumzo yao , Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati walipokuwa wakizungumza na Waandishi wa Habari wa Tanzania na wale kutoka nchi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.Post a Comment

0 Comments