Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKABIDHI SADAKA YA VYAKULA KWA WANANCHI WA MAKUNDI MAALUM WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati Bi. Jamila Borafya akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, wakati wa hafla ya ugawaji wa Sadaka kwa Wananchi hao iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO Bi. Rehana Mirali.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia Bi.Sahila Juma Yahya,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum, wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibarb leo 14-4-202.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa chakula yakiwemo mafuta ya kupikia Mtoto Husna Daud, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibarb leo 14-4-202.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa vyakula yakiwemo mafuta ya kupikia.Bi. Jamila Borafya, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO Bi. Rehana Mirali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Msaada wa chakula Bw.Ali Abeid kwa ajili ya futari hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 14-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZIDO.Bi.Rehana Mirali ,msaada huo wa futari uliotolewa kwa ajili ya Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments