Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI JAMAL KASSIM AMUWAKILISHA RAIS DKT.MWINYI KUTOA MKONO WA EID EL FITRY KWA WANANCHI VIWANJA VYA IKULU

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akizungumza na kutowa Salamu za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kumsalimia na kupokea mkono wa Eid El Fitry, hafla hiyo iliyofanyika 22-4-2023.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akimpa mkono wa Eid El Fitry, Mtoto Muhamar Kassim akiwa amebebwa na Mama yake walipofika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kwa ajili ya kupokea Mkono wa Eid El Fitry, Mhe. Jamal akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijijini Zanzibar 22-4-2023.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akitowa mkono wa Eid El Fitry, kwa Wananchi walipofika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kwa ajili ya kupokea Mkono wa Eid El Fitry, Mhe. Jamal akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijijini Zanzibar 22-4-2023.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar walipofika kupokea mkono wa Eid El Fitry, kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika jana 22-4-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments