Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI JAFO ATETA NA WAZIRI ULEGA, MBAROUK

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiongoza Kikao cha majadiliano kuhusu matumizi ya rasilimali zilizopo katika Ziwa Tanganyika na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kilichofanyika leo Juni 06, 2023 jijini Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akichangia wakati wa Kikao cha majadiliano kuhusu matumizi ya rasilimali zilizopo katika Ziwa Tanganyika kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na kufanyika leo Juni 06, 2023 jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk akichangia wakati wa Kikao cha majadiliano kuhusu matumizi ya rasilimali zilizopo katika Ziwa Tanganyika kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo leo Juni 06, 2023 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifafanua jambo wakati wa Kikao cha majadiliano kuhusu matumizi ya rasilimali zilizopo katika Ziwa Tanganyika kilichoongozwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo leo Juni 06, 2023 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.

Wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi (kushoto) wakiwa katika Kikao cha majadiliano kuhusu matumizi ya rasilimali zilizopo katika Ziwa Tanganyika kilichoongozwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo leo Juni 06, 2023 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Post a Comment

0 Comments