Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA INDIA JIJINI NEW DELHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na Wawekezaji kutoka India na Tanzania kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara uliofanyika New Delhi tarehe 10 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India katika muendelezo wa Ziara yake ya Kitaifa, New Delhi 10 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi tarehe 10 Oktoba, 2023.

Viongozi, Wafanyabiashara pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi tarehe 10 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments