Ticker

6/recent/ticker-posts

TARURA yarejesha mawasiliano yaliyokatika barabara ya Madale-Mbopo hadi Bunju

WAKALA wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wameweza kurejesha mawasiliano yaliyokatika kutokana daraja la Mbopo Madale katika halmashauri ya Wilaya Kinondoni kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa.

Taraja hilo limeonganisha mawasiliano kutoka Madale- Mbopo hadi Bunju Km 16.5 Wilayani Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments