Ticker

6/recent/ticker-posts

YANGA YASHIKWA SHATI NA AL AHLY, YATOKA SARE 1-1

NA EMMANUEL MBATILO

KLABU ya Yanga imelazimishwa kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Al ahly ya Misri, mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la New Aman Zanzibar.

Katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa barabi Afrika hatua ya makundi, Yanga ilianza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa beki wao Ibrahim Hamad.

Yanga Sc anashika nafasi ya pili kwenye kundi lake akiwa na pointi 5 huku Al Ahly akiwa anaongoza kundi akiwa na pointi 8 wote wawili wakiwa wamecheza mechi nne.

Post a Comment

0 Comments