Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50 inayohusika na Uwekezaji wa Miundombinu barani Afrika, Bw. Alain Ebobissé pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi yaAfrica50 inayohusika na Uwekezaji wa Miundombinu barani Afrika, Bw. Alain Ebobissé, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Mei, 2026.
0 Comments