Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI (Afya), Prof. Tumaini Nagu (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa, mara baada ya kutembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika jijini Dodoma, leo ikiwa ni kilele cha maonesho hayo.

0 Comments