Ticker

6/recent/ticker-posts

UBALOZI MDOGO WA CHINA WAKABIDHI MSAADA WA NYARAHANI WA TAASISI "ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION"

BALOZI Mdogo wa China Anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Balozi.Zhang Zhzsheng akimkabidhi hati ya makabidhiano ya Vyarahani kwa ajili ya kusaidia kuwawezesha Wanawake..Afisa Mtendaji wa Foundation ya Mama Mariam Mwinyi, “Zanzibar Maisha Bora Foundatin” Bi. Mwanaidi Mohammed Ali, akipokea kwa niaba ya Mwenyekiti wa “Zanzibar Maisha Bora Foundation” Mama Mariam Mwinyi Mke wa Rais wa Zanzibar.hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ubalozi wa China Mazizini Jijini Zanzibar leo 28-1-2022.(Picha na Ikulu)

BALOZI Mdogo wa China Anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Balozi Zhang Zhzsheng akimkabidhi Vyarahani Afisa Mtendaji Mkuu wa Foundation ya Mama Mariam Mwinyi, “ Zanzibar Maisha Bora Foundation” Bi.Mwanaidi Mohammed Ali, akipokea kwa niaba ya Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi,kwa ajili ya kusaidia kuwawezesha Wanawake, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Jijini Zanzibar leo 28-1-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments