Ticker

6/recent/ticker-posts

KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA COMORO NCHINI TANZANIA.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 11, 2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na, Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 11, 2022.(Picha na Fahasi Siraji CCM Makao Makuu

Post a Comment

0 Comments