Ticker

6/recent/ticker-posts

WADAU WATAJA SABABU KUU MAFUTA KUPANDA BEI


Wadau katika sekata ya Nishati nchini wametupa sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kukubwa bei ya mafuta kupanda mara kwa mara sababu hizo ni pamoja na

1. Gharama za uagizaji wa mafuta. Kwa mfano kipindi cha mwezi Machi hadi Agosti 2022, tani moja ya mafuta yalinunuliwa kati ya dola 34 na 123, wakati kwa mwaka huu (2023) kwa kipindi hicho hicho, tani moja ya mafuta yalinunuliwa kati ya dola 70 na 156.

 2. Gharama za usafirishaji kwa maana ya kukodi Meli. Urusi ndiye mwenye Meli nyingi za kusafirisha mafuta. Baada ya vikwazo kuna upungufu wa Meli zaidi ya 250.

 3. Ongezeko la Bima 

4. Wazalishaji wamepunguza kuzalisha mafuta.

Post a Comment

0 Comments